Kitabu cha Mormoni APK 4.7.0 (46349.1988219)
6 Nov 2024
4.7 / 11.53 Elfu+
The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints
Kitabu cha Mormoni: Ushuhuda Mwingine wa Yesu Kristo
Maelezo ya kina
Kitabu cha Mormoni, kama Biblia, ni neno la Mungu. Kina uongozi wa Mungu kama ulivyofunuliwa na manabii, vile vile historia ya dini ya baadhi ya wenyeji wa Amerika ya kale. Kitabu cha Mormoni ni ushahidi mwingine kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu na kwamba wote wanaokuja Kwake na kushika amri Zake wanaweza kuokolewa. Joseph Smith alitafsiri rekodi hii katika Kiingereza kwa kipawa na uwezo wa Mungu, na kilichapishwa kwa mara ya kwanza Machi 1830.
Yaliyomo
Tafsiri katika lugha kuu zaidi duniani
Unasaji wa sauti katika lugha zilizochaguliwa, ikiwa ni pamoja na Kiingereza, Kihispania, na Kireno
Mwongozo wa marejeo unaonyesha vifungu muhimu kuhusu Yesu Kristo, mada za injili, watu, mahali, na matukio
Uwezo wa upekuzi na uwezo wa kupenya
Uwezo wa kushiriki na viungo vya kujifunza zaidi
Yaliyomo
Tafsiri katika lugha kuu zaidi duniani
Unasaji wa sauti katika lugha zilizochaguliwa, ikiwa ni pamoja na Kiingereza, Kihispania, na Kireno
Mwongozo wa marejeo unaonyesha vifungu muhimu kuhusu Yesu Kristo, mada za injili, watu, mahali, na matukio
Uwezo wa upekuzi na uwezo wa kupenya
Uwezo wa kushiriki na viungo vya kujifunza zaidi
Picha za Skrini ya Programu


















×
❮
❯
Matoleo ya Zamani
-
4.7.0-(46349.1988219)4 Mar 202529.46 MB
-
4.6.0-(46042.1793647)7 Nov 202422.81 MB
-
4.5.0-(21750.1705913)19 Sep 202423.20 MB
-
4.4.0-(21556.1627402)8 Ago 202422.92 MB
-
4.3.1-(21354.1539443)17 Jun 202423.69 MB
-
4.3.0-(21177.1406395)11 Apr 202449.69 MB
-
4.2.0-(21080.1352125)29 Feb 202420.25 MB
-
4.1.0-(20969.1285960)13 Jan 202455.20 MB
-
4.0.0-(20805.1186334)26 Okt 202327.14 MB
-
3.5.0-(20635.1100144)24 Ago 202376.10 MB