Kijani APK 0.5.9
19 Des 2024
/ 0+
Justdiggit Foundation
Ongeza mavuno yako kwa Kijani – mwongozo bora wa ukijanishaji!
Maelezo ya kina
🌱Je, wewe ni mkulima na ungependa kuongeza mavuno ya mazao yako, na uifanye ardhi yako iwe na afya? App ya Kijani iliyoandaliwa na Justdiggit ni app ya bure mahususi kwa ajili yako! Kwa kutumia mbinu mwafaka, miongozo ya hatua kwa hatua, na mbinu za kiasili, Kijani inakusaidia kukijanisha ardhi yako, kuhifadhi maji na kurejesha afya ya udongo wako.
🛠️ Mbinu rahisi na mwafaka: Jifunze mbinu za ukijanishaji zilizothibitishwa zinazoweza kuboresha udongo, kuhifadhi maji, na kuongeza mavuno yako - mbinu ambazo ni rafiki kwa mazingira.
🎥 Ni Rahisi Kuzitumia: Miongozo ya hatua kwa hatua na video zinazokuwezesha kutumia mbinu hizo kwa urahisi, kama vile mbinu ya uvunaji maji ya mvua, kuweka matandazo, kukuza miti (Kisiki Hai) na nyinginezo.
🌾 Huongeza Mavuno ya Mazo: Kwa kuhudumia udongo wako na kwa kuboresha afya ya ardhi yako, app ya Kijani inakusaidia kustawisha mazao yako - jambo litakalokupa mavuno bora na ongezeko la kipato.
📈 Fuatilia Maendeleo Yako: Fuatilia maendeleo ya ukijanishaji wa ardhi yako na ujionee faida lukuki kadiri siku zinavyoenda!
🤝 Tukijanishe kwa Pamoja: Ungana na jamii ya wakulima waliodhamiria kuboresha ardhi zao na kutengeneza kesho yao iliyo bora pamoja na ya vizazi vijavyo.
📲Pakua app ya Kijani leo hii ili uanze kukijanisha!
Hebu tulime mashamba yenye afya, ya kijani na yenye rutuba kwa pamoja.

Picha za Skrini ya Programu

×
❮
❯