NHK WORLD-JAPAN APK 8.9.1
18 Des 2024
3.7 / 12.36 Elfu+
NHK (JAPAN BROADCASTING CORP.)
Habari na huduma za mahitajiko kutoka nchini Japani.
Maelezo ya kina
Shirika la Utangazaji la NHK WORLD-JAPAN linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na njia ya mtandao kwa wasikilizaji kote duniani.
Ni huduma ya kimataifa ya shirika la utangazaji la umma la Japani, NHK.
[Vipengele]
- Inapatikana katika lugha 19
Kiarabu, Kibengali, Kibama, Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kihindi, Kiindonesia, Kikorea, Kiajemi, Kireno, Kirusi, Kihispania, Kiswahili, Kithailandi, Kituruki, Kiurdu, Kiukraine, Kivietinamu
- Habari za hivi karibuni za Japani na Asia
- Pata taarifa za dharura kuhusu mitetemeko ya ardhi na tsunami kwa ujumbe wa haraka *Kiingereza, Kichina, Kireno na Kivietinamu
- Urushaji mbashara wa chaneli ya TV ya Kiingereza mtandaoni 24/7 yenye tafsiri ya mzungumzokatika lugha nyingi zilizofasiriwa na AI
- Vipindi vya video na sauti katika lugha nyingi on demand

Onyesha Zaidi