WhatsApp Business APK 2.25.7.3

14 Feb 2025

4.4 / 15.64 Milioni+

WhatsApp LLC

Zana rahisi kwa biashara kuzungumza na wateja wao.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Kuhusu programu hii

Kila kitu unachopenda kuhusu WhatsApp pamoja na zana zilizoundiwa ndani za biashara
WhatsApp Business ni programu ya kupakua bila malipo yenye zana zilizoundwa ndani ili kukusaidia kufanya kazi nadhifu, kujenga uaminifu na kukuza biashara yako.

Unapata simu zisizolipishwa* na ujumbe wa kimataifa bila malipo* pamoja na vipengele vya biashara ili kukusaidia kufanya zaidi kwa mazungumzo.

Pakua programu ili kupata manufaa kama haya ya biashara:

Fanya kazi kwa busara. Okoa muda kwa kuruhusu programu ikufanyie kazi! Tumia wateja majibu ya haraka ya kiotomatiki na ujumbe wa kuwa mbali ili usiwahi kukosa fursa. Tumia lebo kupanga, kuchuja na kupata mazungumzo muhimu kwa haraka. Unda hali ili ushiriki ofa au habari, na hata uchukue maagizo na malipo** ndani ya programu ili uzoefu mzuri wa wateja.
Stawisha mahusiano na uaminifu. Ukiwa na jalada la biashara la kitaalamu kwenye mfumo salama, unastawisha uaminifu kwa wateja. Tumia programu kutoa msaada zaidi kwa wateja na ustawishe uaminifu wa muda mrefu. Jisajili kwenye Meta Verified*** ili uimarishe uhalisi wako.
Uza zaidi na ukue. Gunduliwa, tangaza, na utengeneze miunganisho ya wateja yenye thamani zaidi. Ongeza mauzo kwa kutuma ofa zinazolengwa kwa wateja; tengeneza matangazo ambayo unaweza kubofya kwenye WhatsApp; onyesha katalogi yako ya bidhaa; na uwape wateja urahisi wa maagizo na malipo ya ndani ya programu.**

Maswali Yanayoulizwa Sana
Je, vipengele vyote havina malipo?
Hailipishwi kupakua na kutumia programu, pamoja na mchanganyiko wa vipengele visivyo vya kulipia na vya kulipia.

Je, bado ninaweza kutumia WhatsApp yangu ya kibinafsi?
Ndiyo! Alimradi una nambari mbili tofauti za simu, akaunti yako ya biashara na ya kibinafsi inaweza kuwa pamoja kwenye kifaa kimoja.

Je, ninaweza kuhamisha kwenye historia yangu ya soga?
Ndiyo. Unaposanidi programu ya Programu ya WhatsApp Business, unaweza kurejesha chelezo kutoka kwa akaunti yako ya WhatsApp ili kuhamisha ujumbe, midia na waasiliani zako kwenye akaunti yako ya biashara.

Ninaweza kuunganisha vifaa ngapi?
Unaweza kuwa na jumla ya vifaa vitano vinavyotegemea wavuti au simu za mkononi kwenye akaunti yako (hadi 10 ikiwa umejiandikisha kwenye Meta Verified***).

*Unaweza kulipishwa kutumia data. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo.
**Haipatikani katika masoko yote
***Itapatikana hivi karibuni duniani kote
Onyesha Zaidi

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa