Spotify: Muziki na Podikasti APK 9.0.28.246

11 Feb 2025

4.4 / 32.76 Milioni+

Spotify AB

Gundua muziki mpya na upate wimbo, albamu, orodha au podikasti unayopenda

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Ukiwa na Spotify, unaweza kucheza mamilioni ya nyimbo na podikasti bila malipo. Sikiliza nyimbo na podikasti unazopenda na ufurahie muziki kutoka duniani kote.

• Gundua muziki, albamu au podikasti
• Tafuta wimbo, msanii au podikasti unayopenda
• Furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa kwa ajili yako
• Tengeneza na ushiriki orodha zako za kucheza
• Tafuta muziki wa shughuli au hali yoyote
• Sikiliza kwenye kifaa chako cha mkononi, tablet, kompyuta ya mezani, PlayStation, Chromecast, TV, na spika

Cheza muziki bila malipo kwenye tablet na kifaa chako cha mkononi ukiwa na Spotify. Sikiliza muziki, albamu, orodha za kucheza na podikasti popote ulipo.

Ukiwa na Spotify, una uwezo wa kufikia muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa, wasanii na podikasti unazopenda. Gundua muziki, podikasti mpya na usikilize wasanii, albamu unazopenda au utengeneze orodha ya kucheza yenye nyimbo mpya zinazofaa hali yako.

Spotify pia inakupa muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa na maelfu ya podikasti ambazo huwezi kupata mahali pengine popote. Pata muziki kutoka kwa wasanii unaowapenda na usikilize muziki mpya bila malipo.

• Umerahisishiwa kusikiliza muziki na podikasti bila malipo – Sikiliza orodha za kucheza au ucheze muziki wa msanii yoyote katika hali ya kuchanganya

Sikiliza muziki na podikasti kwenye tablet yako bila malipo
• Cheza muziki wa msanii yoyote, podikasti, albamu au orodha ya kucheza na ufurahia hali ya muziki ulio na mapendeleo yako

Vipengele vya Spotify Premium
• Sikiliza albamu, orodha ya kucheza au podikasti bila matangazo. Ukiwa na Spotify unaweza kucheza muziki wa msanii yoyote, wakati wowote kwenye kifaa chochote--cha mkononi, tablet, au kompyuta yako.
• Pakua na ucheze muziki ili usikilize nje ya mtandao.
• Furahia ubora murua wa sauti kwenye muziki na podikasti zinazokufaa.
• Gundua muziki mpya au orodha za kucheza zilizopangwa zinazofaa hali yako. Ukiwa na Spotify utapata hali ya usikilizaji muziki isiyo na kifani.
• Hamna mikataba - ghairi wakati wowote.

Furahia Spotify kwenye kifaa cha Wear OS:
• Furahia muziki, podikasti na vitabu vya kusikiliza unavyopenda bila kuwa na simu yako karibu.
• Dhibiti uchezaji kwenye simu yako au vifaa vyako vyovyote vinavyooana na Spotify
• Pakua maudhui unayopenda ili usikilize nje ya mtandao popote ulipo (Premium pekee).
• Pata idhini ya kufikia Spotify papo hapo ukitumia Vigae na Changamano zetu

Ungependa kugundua muziki mpya?
Chagua orodha za kucheza zilizopangwa, albamu mpya au upate mapendekezo ya muziki yanayokufaa.

Unapenda Spotify?
Tupende kwenye Facebook: http://www.facebook.com/spotify
Tufuatilie kwenye Twitter: http://twitter.com/spotify

Tafadhali kumbuka: Programu hii ina programu ya Nielsen ya kupima hadhira ambayo pia itakuruhusu kuchangia katika utafiti wa masoko, kama vile Kipimo cha Sauti cha Nielsen. Ikiwa hutaki kushiriki unaweza kujiondoa kwenye mipangilio ya programu. Ili upate maelezo zaidi kuhusu bidhaa zetu dijitali za kupima hadhira na chaguo zako kuhusu bidhaa hizi, tafadhali tembelea http://www.nielsen.com/digitalprivacy kwa maelezo zaidi.
Onyesha Zaidi

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa