Postmates - Food Delivery APK 6.261.10001

Postmates - Food Delivery

18 Feb 2025

4.4 / 227.34 Elfu+

Uber Technologies, Inc.

Kujichukulia na Kuletewa kutoka Mgahawa wa Karibu. Agiza Chakula, Uletewe!

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

"Usafirishaji kutoka kwa migahawa unayopenda, maduka ya vyakula na zaidi! Wakati wowote. Postmates inakuletea unachotaka, unapohitaji. Tumia tu Postmate na utaipata

PATA MIGAHAWA UNAYOPENDA
Pitia migahawa ya karibu. Chagua kutoka aina nyingi ili uagize: Pizza. Burritos. Burgers. Sushi. Chakula cha Kichina. Usisumbuke kupanga foleni na kuweka nafasi. Agiza chakula chako kutoka kwenye menyu yoyote na ukiweke kwenye kikapu chako haraka. Au, panga oda ya chakula chako mapema ili msafirishaji akuletee baadaye. Uamuzi ni wako!

VYAKULA, HARAKA, REJAREJA NA ZAIDI
Kutoka kwenye duka unalopenda la vyakula, maduka ya pombe hadi kwenye maduka makubwa ya urembo. Tumia tu Postmates, na uletewe baada ya takribani saa moja.

UFUATILIAJI WA ODA KWA WAKATI HALISI
Fuatilia oda ya chakula chako kwenye ramani unapoletewa.
Angalia makadirio ya muda wa kufika katika eneo lako. Pata arifa oda itakapofikishwa.

KUCHUKUA KWA HARAKA au KULETEWA BILA KUGUSANA
Unaweza kuagiza chakula mapema ili Ujichukulie badala ya kuagiza tu uletewe. Chagua Kujichukulia, weka vyakula kwenye kikapu chako na uende kwenye mgahawa ili upate chakula chako. Au, teua chaguo la usafirishaji bila kukutana na chakula chako kitawekwa mlangoni.

VIGEZO NA MASHARTI YA OFA (approved as of Apr 9)
Punguzo la $10 kwenye oda yako ijayo kwa mujibu wa vigezo na masharti: Hadi punguzo la $10 kwenye oda yako ijayo. Ofa inatumika unapopakua na kuingia kwenye App ya Postmates pekee. Bado kodi na ada zinatozwa. Upatikanaji wa ofa na duka kunalingana na eneo la mtumiaji. Inatumika kwa mteja mmoja. Huwezi kuhamisha au kubadilisha ofa. Ofa inatumika tu siku 14 baada ya kuingia kwenye akaunti katika App mpya ya Postmates. Hali za kipekee zinaweza kutumika. Huwezi kutumia ofa kupata pesa au manufaa mengine. Postmates ina haki ya kubadilisha au kuondoa ofa hii wakati wowote bila taarifa yoyote.
"

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa