Opera Mini: Fast Web Browser APK 89.0.2254.76420

Opera Mini: Fast Web Browser

24 Jan 2025

4.6 / 9.55 Milioni+

Opera

Peruzi kwa haraka, Okoa data, Kua na Faragha.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Okoa mpaka asilimia 90% ya data huku ukiperuzi kwa kasi ya haraka! Opera Mini ni kivinjari cha haraka sana, kilichojaa vipengele ambavyo vinafanya kuperuzi kuwa ni kwa haraka, makini na bora!

✔ Peruzi kwa haraka
✔ Okoa data
✔ Kua na Faragha mtandaoni
✔ Zuia Matangazo
✔ Pata taarifa Mpya
✔ Boresha Kivinjari chako
✔ Pakua maudhui kwa urahisi
✔ Endelea kusoma bila kuwasha data

Peruzi kwa haraka
Endelea kuperuzi kwa wepesi hata ukiwa na mtandao usio na kasi. Maudhui yako yanabanwa na kuboreshwa hata kabla ya wewe kuona hilo.

Okoa data
Okoa mpaka asilimia 90% ya data yako ukiwa unaperuzi na Opera Mini. Kuperuzi kwingi, matumizi kidogo.

Pata taarifa mpya
Pata taarifa mpya kabisa toka eneo ulilopo kwa haraka na urahisi kupitia habari kiganjani mwako.

Zuia Matangazo
Nufaika zaidi na kuperuzi. Zuia matangazo kwa urahisi katika Opera Mini kwa matumizi mazuri ya data na kuperuzi kwa urahisi zaidi.

Fuatilia soka moja kwa moja
Usipitwe na soka kupitia matokeo ya moja kwa moja. Fuatilia timu, mashindano, na mechi moja kwa moja!

Peruzi kwa faragha
Linda historia yako ya matumizi, pakua kwa faragha na weka siri zako salama kwa ulinzi kupitia namba ya siri.

Tunapenda kusikia kutoka kwako. Tufikie muda wowote kupitia https://help.opera.com/en/mini/

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa