My Pirate Town: Treasure Games APK 2.3.1

My Pirate Town: Treasure Games

8 Okt 2024

4.3 / 2.4 Elfu+

Tizi Town Games

Jifanye haramia wa kifalme & nenda kwenye kisiwa kilichojificha cha hazina.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Ahoy matey! Upo tayari kuanza uvumbuzi wako wa kiharamia? Kama unapenda kucheza wasifu wa haramia na tengeneza hadithi yako ukishirikiana na kisiwa cha hazina, basi unahitaji app hii! Cheza michezo ya meli za kiharamia na kuwa mfalme wa kiharamia ndani ya dunia hii ya kusisimua iliyo jaa hazina zilizo jificha

Ndani ya Mji Wangu Wa Kiharamia - Michezo Ya Kutafuta Azina Ya Kisiwa Cha Bahari itakufanya ucheze na mamia ya vitu vinavyohusiana na Kiharamia na utengeneze hadithi yako ya kufikirika.Ukiwa na Maharamia wengi,unaweza kujifanya unacheza michezo ya kwenye bahari, au ujifanye mwizi wa kiharamia ndani ya michezo ya siri. Ila kuwa makini! kama utakamatwa, utawekwa kwenye dungeon. Nenda kasake na safiri kwenye dunia ya kufikirika ndani ya meli yako ya Kiharamia na ishi maisha ya Kiharamia

Haya ni machahe ya nini unaweza kufanya ndani ya Mji Wangu Wa Kiharamia - Michezo Ya Kutafuta Azina Ya Kisiwa Cha Bahari
* Gusa,shirikisha na cheza ndani ya maeneo 10 ya kipekee yakiwemo meli ya Kiharamia,mgahawani na zaidi!
* Aina tofauti 24 za wahusika wa kufurahisha wa kiharamia kwaajili yako uweze kucheza nao.
*Ni salama kucheza! Mara zote tunaziweka app zetu za kucheza kwa kujifanya salama kabisa kwa mtoto
*Hamna mtandao unaohitajika. Cheza bila mtandao. Ni nzuri kwa kucheza muda mwingi.

Hivyo, upo tayari kucheza? Basi pakua Mji Wangu wa Kiharamia - Michezo Ya Kutafuta Azina Ya Kisiwa Cha Bahari sasa!

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa