Tizi Hospital City Michezo APK 2.4

Tizi Hospital City Michezo

22 Jan 2025

3.6 / 20.97 Elfu+

Tizi Town Games

Kuwa daktari na ucheze ya my tizi city hospitali town michezo kwa watoto.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Je unawajua mashujaa ambao wanavaa joho nyeupe? Ndio, upo sahihi hao ni madaktari wetu! Umewahi kuota kuokoa maisha ya mtu flani? Basi Mji wa Tizi - Hospitali ni sehemu sahihi ambayo inakupa matumaini ya jukumu la kucheza kama daktari na okoa maisha ya watu wako

Pata uzoefu wa ugumu wa maisha ya hospitali ukiwa na mchezo huu na cheza kwa kujifanya mgonjwa au mtu wa dawa au daktari. Vumbua kila floo kuanzia sehemu ya ambulensi hadi chumba cha uchunguzi wa CT scan. Ndani ya Mji wa Tizi - hospitali, una machaguo ya kazi nyingi kama dentist,Osteopathic, Radiologist, au Surgeon. hivyo unasubiri nini, pakua mchezo huu sasa!

Ingia kwenye changamoto halisi za maisha ambazo madaktari wanakutana nazo kila siku na kuwa mpangaji wa hospitali yako. Tengeneza hadithi inayohusu ratiba za uchunguzi, tibu magonjwa mbali mbali, chunguza kwa mtambo wa CT scan, na zaidi. Wafanye watoto wako wasimamaie hospitali zao & na kutengeneza huruma kwa wengine

Wasifu mkuu za mchezo huu ni:
Kuna zaidi ya wahusika 25 wa kucheza, wa viumbe tofauti tofauti, umri unawakilisha wagonjwa na madaktari
Ubunifu mwingi wa njia ya kucheza kwenye floo ya 5 ikiwa na sehemu tofauti tofauti za matibabu
Michezo mingi midogo inakusubiri ikiwa ya kila aina
Ni mchezo wa madaktari kwa watu wa kila umri
Inapendeza na muonekano wa hali ya juu
Pata mshituko mpya wa kufurahisha ndani ya kila chumba

Hivyo mnasubiri nini? Chunguza,tibu & waponye wagonjwa wako. Ishi maisha ya mtaalamu wa afya ukiwa na changamoto halisi za maisha. Njoo na pakua mchezo huu sasa!

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa