Huduma za Kampuni ya Simu APK carrierservices.android_20240610_00_RC00.phone

Huduma za Kampuni ya Simu

13 Jun 2024

4.3 / 1.74 Milioni+

Google LLC

Huduma mpya kabisa za mawasiliano kutoka kwa watoa huduma za simu za mkononi.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Programu ya Huduma za Kampuni ya Simu hutoa huduma zinazosaidia vipengele vya Gumzo kwenye programu ya Messages kutoka Google. Programu hii hukusanya data ya uchunguzi na inayohusu programu kuacha kufanya kazi ili kuhakikisha kwamba huduma hizi zinafanya kazi vizuri. Tafadhali angalia toleo lililo kwenye Google Store la programu ya Messages kutoka Google ili upate maelezo zaidi kuhusu mbinu desturi za Programu ya Huduma za Kampuni ya Simu katika kukusanya na kushiriki data ili kuwezesha utumaji ujumbe kupitia RCS.

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa