Anwani APK 4.50.22.730698292

Anwani

13 Feb 2025

4.3 / 1.58 Milioni+

Google LLC

Hifadhi nakala za anwani zako na uzifikie mahali popote

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Kuhifadhi nakala na kusawazisha anwani zako kwenye vifaa vyako vyote
• Hakikisha kuwa nakala za anwani zako zimehifadhiwa kwa njia salama kwenye Akaunti yako ya Google
• Fikia anwani zako kwenye kifaa chochote ulichotumia kuingia katika akaunti, ikijumuisha simu mpya utakayopata
• Rejesha anwani zilizofutwa katika kipindi cha siku 30 zilizopita kutoka kwenye Tupio

Kuhakikisha kuwa anwani zako zimepangwa na zimesasishwa
• Angalia anwani zako kulingana na akaunti (kama vile za kazi au binafsi)
• Weka anwani na ubadilishe kwa urahisi taarifa kama vile namba za simu, barua pepe na picha
• Pata usaidizi wa kuunganisha anwani zinazojirudia, kuweka maelezo muhimu na zaidi

Kuwasiliana na watu muhimu zaidi
• Angalia matukio muhimu, kama vile siku za kuzaliwa na maadhimisho yajayo
• Weka arifa ili usikose siku yoyote maalum
• Fikia kwa urahisi anwani ulizoweka au ulizoangalia hivi majuzi

Pia inapatikana kwenye Wear OS, ikiwa ni pamoja kigae cha anwani unazopenda, kigae cha anwani binafsi na madoido ya anwani

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa