Mandhari APK 14

Mandhari

9 Sep 2020

4.0 / 266.89 Elfu+

Google LLC

Boresha skrini yako kwa kutumia mandhari maridadi na vipengele thabiti.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Boresha skrini yako kwa kutumia mandhari maridadi na vipengele mahiri. Chagua mojawapo ya picha zako, picha kwenye mkusanyiko wa Google Earth, mandhari ya kuvutia kutoka kwenye Google+, na mengine mengi. Ibadilishe kadri upendavyo, ili simu yako ionyeshe mtindo unaokufaa.

Furahia mkusanyiko unaozidi kuongezeka. Fikia picha kwenye Google Earth, Google+, na washirika wengine.
Furahia kabisa. Weka mandhari moja kwenye skrini yako iliyofungwa na nyingine kwenye skrini yako ya mwanzo. (Inahitaji Android™ 7.0, Nougat na matoleo mapya.)
Anza kila siku kwa njia ya kipekee. Chagua aina unayopenda na utapata picha mpya ya mandhari kila siku.

Ilani ya Idhini
Picha/Maudhui/Faili: Zinahitajika ili ufikie na utumie picha maalum kuwa mandhari.
Hifadhi: Inahitajika ili uweze kutumia picha maalum kuwa mandhari.

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa