Majedwali ya Google APK 1.25.102.00.90

Majedwali ya Google

13 Feb 2025

4.1 / 1.2 Milioni+

Google LLC

Unda na ubadilishe malahajedwali ukiwa mahali popote.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Unda, badilisha na ushirikiane na wengine kwenye majedwali kutoka katika simu au kompyuta kibao yoyote ya Android kwa kutumia programu ya Majedwali ya Google. Ukiwa na Majedwali ya Google unaweza:

- Kuunda majedwali mapya au kubadilisha faili zilizopo
- Kushiriki majedwali na kufanya kazi pamoja na wengine katika jedwali moja kwa wakati sawa.
- Kufanya kazi zako wakati wowote - hata bila muunganisho wa intaneti
- Kuongeza na kujibu maoni.
- Kubadilisha muundo wa visanduku, kuingiza au kupanga data, kuangalia chati, kuweka fomula, kutumia tafuta au badilisha, na mengine.
- Kukaa bila hofu ya kupoteza kazi yako - kila kitu kinahifadhiwa kiotomatiki kadri unavyocharaza.
- Kupata maarifa, haraka, kuweka chati na kubadilisha muundo kwa kugonga mara moja tu Kichunguzi
- Kufungua, kubadilisha na kuhifadhi faili za Microsoft Excel.

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa