Piki: Agiza Chakula, Vinywaji APK 5.7.85
12 Feb 2025
0.0 / 0+
Piki Africa
Pokea chakula au vinywaji au simu mlangoni kwako ndani ya dakika 30-40 Piki App.
Maelezo ya kina
Agiza chakula au vinywaji au simu mtandaoni kupitia Piki, pokea mlangoni kwako ndani ya dakika 30 hadi 40 tu.
Piki inakurahisishia maisha yako na kukuokolea muda kwa kukuepusha kutumia muda mrefu kufuata chakula kutoka katika mgahawa unaopenda au kutoka kwenye duka fulani lilio mbali na wewe.
PiKi ni app bora zaidi ya kuagiza chakula kwa mtandao katika jiji la Dar Es Salaam kwa kukuwezesha kuagiza kutoka kwenye migahwa mikubwa na midogo.
Tumia muda wako kufanya mambo yaliyo muhimu zaidi kwako yanayohusu uagizaji wa chakula na bidhaa iachie Piki.
Piki ni app bora zaidi kwa migahawa kwa kuwa inaiwezesha kuwafikia wateja ambao haikuwa inaweza kuwafikia kabla. Piki inaiwezesha migahawa kuongeza mauzo kwa kati ya asilimia 20 % hadi 30%.
Tunaamini uagizaji wa chakula au bidhaa nyingine unatakiwa kuwa rahisi, usio na usumbufu na wa haraka, hudama hii imejengwa ikiwa inazingatia mambo hayo.
JINSI INAVYOFANYAKAZI.
1- Pakua App ya Piki kutoka duka la Google (Google Play Store)
2 - Chagua eneo lako uone migahawa na biashara zinanazokufikia eneo lako kwa muda mfupi.
3 - Kisha chagua bidhaa unazopenda katika mgahawa au biashara uliyochagua.
4 - Weka agizo lako na enoa unalotaka oda yako ilitwe.
5 - Pokeo oda mlangoni kwako. Ufurahie mlo au bidhaa yako.
JUA KINACHOENDELEA KUHUSU ODA YAKO MUDA HUO HUO
Mfumo wetu unakuwezesha kufuatilia oda yako katika uhalisia na kwa muda huho huo, kupitia app yetu utaweza kufuatilia na kujua hatua ya oda yako.
PATA ZAIDI NA PIKI
Piki ni Muunganiko wa ladha za nyumbani na za kimataifa, tuna bidhaa zilizo bora kutoka kwa migahawa bora zaidi.
WIGO MPANA ZAIDI WA MITINDO YA MAPISHI.
a). Ladha za Kitanzania
b).Kimarekani na Mediterania
c).Afrika Mashariki
d).Vyakula vya Kihindi
e). Kikorea, Kichina, Kijapani
f). Shawarma, Baga, Kababu, Sandwich
g). Halal food
h). Fast Food
i). Groceries
j). Healthy food
k). French Fries
l). European (French, Crepes, Italian, Pizza, Pasta)
m). Meat (burgers, barbeque)
n). Salads and Soups
o). Alcoholic Drinks
p). Soft drinks
q). Mexican, Brazilian
r). Vegetarian
s). Breakfast, Smoothies, Fresh Fruit Juices, Bakery and Cakes
t). Coffee, Desserts and Ice Cream
FANYA ZAIDI NA PIKI
-Uagizaji wa chakula
-Uagizaji na kupokea vifaa vya electronic ndani yadakika 30.
-Agiza bidhaa za nymbani na upokeaa ndani ya dakika
TAARIFA ZAIDI:
Tovuti yetu: https://www.piki.co.tz
Facebook: https://www.facebook.com/pikitanzania/
Instagram: https://www.instagram.com/piki.tz/

Picha za Skrini ya Programu

×
❮
❯