Chrome Canary (Si thabiti) APK 136.0.7065.0

Chrome Canary (Si thabiti)

15 Feb 2025

4.3 / 58.56 Elfu+

Google LLC

Tahadhari: majaribio. Gonga "Soma Zaidi" upate maelezo zaidi.

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

Karibu kwenye Chrome Canary ya Android.

Jaribio - Toleo hili halijafanyiwa majaribio. Huenda si thabiti au wakati mwingine litashindwa kufanya kazi. Inapendekezwa kwa wasanidi programu au watumiaji mahiri pekee.

Linasasishwa mara kwa mara - Masasisho yanaweza kutumwa hadi mara saba kwa wiki, na kutumia kipimo data cha MB 100. Kuwa mwangalifu unaposasisha programu kwa kutumia data ya simu za mkononi.

Toa maoni ya mapema - Njia nzuri ya kusaidia kuboresha kivinjari cha Chrome ya Android. Bofya "Usaidizi na Maoni" kwenye menyu ili utoe maoni.

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa