Betway Scores APK 1.45.0
6 Feb 2025
4.6 / 49.29 Elfu+
SportCC
Yote unayohitaji kufurahia mchezo.
Maelezo ya kina
Furahia kupata taarifa zote za timu na ligi uzipendazo.
Usikose mechi au matukio muhimu huku ukipata taarifa za papo hapo zinazokuweka karibu na mchezo hata kama hujaufuata.
Enjoy michezo kwenye mfuko wako.
Kikosi, matokeo, takwimu na misimamo vyote kwenye mfuko wako na inapatikana popote na wakati wowote. Bila kusahau uchambuzi wa papo hapo unaokufikia moja kwa moja kwenye kifaa chako, tutakuweka karibu na mchezo.
Mchongo ni hivi!
Chagua mchezo wako pendwa, timu na ligi na mengine yaache kwa benchi la ufundi. Ukiwa na BetwayScores utajulishwa yale yanayohusu mechi, timu, ligi au michuano yako na si vinginevyo.

Picha za Skrini ya Programu

×
❮
❯