Forex Royale APK 1.0.39

Forex Royale

12 Feb 2025

4.6 / 552.07 Elfu+

Edusystems OU

Kiigiza biashara chenye elimu ya fedha

Pakua APK - Toleo la Hivi Karibuni

Maelezo ya kina

🚀Anza taaluma ya ndoto yako kama mfanyabiashara mtaalamu na Forex Royale! Jifunze misingi ya kufanya biashara ya Forex & cryptocurrecy katika njia ya kufurahisha na isiyo na hatari!

😎Tayari wewe ni PRO? Ujaribu & kuuboresha ujuzi wako kwa mazoezi yenye changamoto ndani ya app!

📱Forex Royale ni kiigiza biashara,aplikesheni ya kipekee ambayo inaunganisha uzoefu wa kucheza michezo na elimu ya fedha. Forex Royale inakusaidia kuielewa misingi ya kuwekeza kwenye fedha na cryptocurrency.

📊Fanya biashara muda alisi! Ihisi furaha ya bonanza la soko la 24/7 lenye bei za muda asilia kutoka kwenye masoko ya fedha ya dunia.

📈 Fanyia biashara pea za sarafu tofauti tofauti, sarafu za kidijitali, na metali za thamani. Nunua na uza bila ya hatari!

🎓Kuza ujuzi wako & kuwa mfanyabiashara nguli! Zifahamu dhana kama:

Leverage (kizidishi)
Miundo ya Candlestick
Chati za Mstari
Forex technical indicators
Sitisha Hasara na Chukua Faida
Margin Call

✅ Kamilisha kazi za kila siku na upate tuzo! Kazi mpya KILA SIKU!

😜 Je! Wewe ni Mtaalamu au Mwanafunzi? Mfanyabiashara anayechukua Hatari au Mtaalamu wa Forex? Fungulia mafanikio ya ndani ya app & thibitisha uwezo wako wa kufanya biashara!

🏆Wape ushindani marafiki zako! Shiriki katika mashindano, shindana na wafanyabiashara wengine na shinda tuzo kabambe. Shika nafasi za juu & ongoza kwenye viwango vya dunia!

Tumia utajiri wako wa ndani ya mchezo kwenye ndege binafsi na vito vya thamani! Shiriki katika minada au fanya manunuzi kwenye app ya Forex Royale. Nunua vitu vya kipekee na jaza wasifu wako kwa vitu vya kianasa!

🤔Je! Faida gani nyingine unapata kwenye Forex Royale?

✔️ Bonasi ya kukaribishwa ya pesa pepe.
✔️ Tuzo za usajili.
✔️ Bonasi za ushirikishaji.
✔️ Historia ya kina ya biashara na shughuli zako.
✔️ Bei ya muda alisi kutoka kwenye masoko ya fedha ya dunia (NYSE, NASDAQ).
✔️ Viarifu vya seva vya papo hapo kuhusu matukio yote ya ndani ya mchezo.
✔️ Oda na viwango vyote kupigiwa hesabu kwenye seva kuhakikisha uimara na usahihi wa data.

Fanya biashara siku 365 za mwaka, masaa 24 ya siku na Forex Royale!

✌️Forex Royale kwa uchezaji wa kuwajibika. Tafadhali weka akilini kwamba:

App hii ni kwa ajili ya muktadha wa watu wazima tu.
Mchezo huu HAUHUSISHI miamala au shughuli za pesa alisi. Forex Royale haitoi fursa ya kushinda tuzo za pesa alisi.
Hauwezi kubadili ushindi wako kwa pesa alisi.
Uzoefu au mafanikio yanayopatikana katika kiigiza ufanyaji biashara hayahakikishi mafanikio katika ufanyaji biashara kwa pesa alisi.

Picha za Skrini ya Programu

Matoleo ya Zamani

Sawa