Advertisement

Фурахия Хабари, Мичезо, Бурудани на Матангазо и Аджира

Об этом приложении

Matukio Tz ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania,Kijamii,Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi ukutiwa mbalimbali za купитиа приложение привет.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia .

AJIRA, Mpendwa mtafuta ajira sasa utaweza kuangalia nafasi za ajira zinazotolewa kila siku katika vitengo mbalimbali na hii itaweza kurahisishia kazi ya kufanya maombi ukiwa na uhakikika kutokana taarifa hizi kuwa mpya kila kukicha.

Приложение привет ни mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzania.

Ахсантени.

Версии Matukio