NYIMBO MPYA ZA INJILI

NYIMBO MPYA ZA INJILI

  • Versi Terbaru
  • MEDANI
Advertisement

Pakua nyimbo zote mpya za injili kila siku kupitia simu yako kirahisi zaidi

Tentang aplikasi ini

Nyimbo zote mpya za injili kutoka kwa kwa waimbaji wote wa injili wapya na wale maarufu ndani na nje ya nchi.
nyimbo mpya za injili kutioka kwa kwaya zote za kusifu na kuabidu na kumtukuza mungu
Mafundisho ya neno la Mungu kutoka vyanzo mbali mbali
Pakua nyimbo kwa mfumo wa audio dan video pia utapata kutazama vido za mafundisho mbalimbali yatakayo kujenga na kukuimarisha kiimani.

Sikiliza nyimbo zote bora za injili kutoka kwaya na wasanii mbalimbali wa Gospel ndani na nje ya nchi. Shea upendo wa Mungu. nyimbo za injili mpya kabisa za nje na ndani. nyimbo za injili ni chakula cha roho, bwana yesu alisema, mtu haishi kwa mkate tu. Download nyimbo za injili na za kuabudu bila malipo yeyote. sambaza upendo wa mungu kwa watu wengine. Nyimbo za kwaya bora kabisa Tanzania kutoka kwa wasanii wa gospel kama:-
Bony Mwaitege
Selamat Gozbert
Christopher Mwangila
Edson Mwasabite
Henokh Jones
Oliver Wema
Emanuel Mdongo
Pascal Kassian
Rose Muhando
Christina shusho
Jenifa Mgendi
Martha Mwaipaja
Martha baraka
Bahati bukuku
Nester sanga
Beatrice Halla
Beatrice Mhone
Flora Mbasha
nyimbo za dini za kusifu na kuabudu.

Versi NYIMBO MPYA ZA INJILI