À propos de cette application
Historia ya Mtume Muhammad (s.a.w) katika harakati za kulingania dini ya Allah.
historia hii imeangalia hasa kuhusu namna amavyo Mtume Muhammad s.a.w alipambana kueneza dini, changamoto alizokumbana nazo yeye na masahaba wake katika kulingania dini na hatuwa walizozipitia.