nikonekt
  • 3.4

nikonekt

  • Última versión
  • TANESCO
Advertisement

Omba kufungiwa umeme na huduma zingine kama maulizo na dharura kwenda TANESCO

Acerca de esta aplicación

Shirika la umeme Tanzania TANESCO limeendelea kuboresha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wateja wake kwa kumrahisishia mteja kutoa taarifa kupitia programu ya "nikonekt". "nikonekt" inakuwezesha:- Kutuma na kufuatilia maombi ya umeme, kutoa taarifa za Dharura, kufanya maombi yasiyo ya umeme, kutoa malalamiko pamoja na kufanya maulizo mbalimbali

Versiones nikonekt