Kangeta Kilimo

Kangeta Kilimo APK 1.0.1 - Descarga gratuita

Descargar APK

Última actualización: 27 de May de 2019

Información de la aplicación

Humsadia mkulima na mfugaji kutatua tatizo la magonjwa, Wadudu, magugu na masoko

Nombre de la aplicación: Kangeta Kilimo

ID de aplicación: com.app.kangetakilimo

: 4.6 / 43+

Autor: Kangeta Kilimo

Tamaño de la aplicación: 15.23 MB

Descripción detallada

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania na África kwa jumla ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katika kuwapatia njia bora za kimo material tecnología.

Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia tecnología katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.

Kutokana na changamoto za kilimo na uhaba wa wataalam wa kilimo Tumeamua kuanzisha chombo kangeta kilimo ambacho kitakuwa kinawaunganisha wakulima, wafugaji na wataalam wa kilimo kwa urahisi hata ukiwa mbali kiasi gani ki kaitiuu

- kumsaidia mkulima kutatua tatizo la visumbufu vya mazao na mifugo kama magonjwa na wadudu waharibifu kwa urahisi na uharaka kwa kutuma picha au ujumbe kisha utapatiwa majibu haraka.
- Kumsaidia mkulima kuweza kupata masoko ya mazao yake kwa urahisi na kupitia simu yake.
- Kumsaidia mkulima kufahamu mbegu bora, mbolea, viwatilifu, visumbufu vya mazao, vinyunyizi kwa kutumia simu yake
 
2 matarajio

- mkulima atapata taarifa za magonjwa na visumbufu vya mazao kutoka kwa kangetakilimo aplicación anachotakiwa ni kutuma picha ya zao lililoathiriwa au ya mdudu anayeharibu mazao pia hata kwa kutoa Maelezo kwa maandishi es

- pia taarifa za masoko zitapatikana kwa wakulima kupitia mfumo nilioutaja hapo juu.
Changamoto

Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43% ya idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku. Mnamo mwaka 2010 idadi hiyo ilipungua kwa nusu na kufikia asilimia 21.
Ingawa bado kuna kuna iai y watu wafikao milioni 900 ulimwenguni ni wastani wa asilimia 70% iai hiyo wanaishi vijijini, wengi wao bado wanafanya kilimo kwa ajili ya kula tu ili waweze kuishi.
Kangetakilimo imeona biashara ni njia nzuri y kuondoa umasikini ambayo kila mtu anaweza kuishi na kuwa na hakiba. Kuinua kilimo ni njia muhimu katika kufikia malengo.
Fursa
Ingawa fursa ni nyingi ulimwenguni, asilimia 60% ya watu masikini ulimwenguni wanaishi África. Kiasi kikubwa cha ardhi ambayo haitumiki inapatikana África.
Wakati huo huo matazamio ni kwa idadi ya watu África ambayo inatalajiwa kuongezeka mara mbili ya billón mbili ifikapo mwaka 2050. Ardhi na wafanyakazi vinapatikana. Changamoto moja itakuwa ni kutumia malighafi hii kufikia mahitaji yanayokua ya chakula.
Suluhisho linabaki katika kuongeza uwezo wa uzalishaji wa kilimo kulingana en la UNFAO. África inauwezo wa uzalishaji asilimia 24, América ya kati asilimia 35, na Asia ya kati asilimia 36. Ulimwengu umeoa kuna fulsa kubwa ya kilimo África.
Mapinduzi y kilimo Africa yameendelea lakini mapinduzi haya ya kilimo yanajumuisha na kuwafaidisha masikini wanaoishi vijijini na mipakani mwa África.
Mnyororo wa thamani
Wakulima wa vijijini wa Africa na nchi zinazoendelea wanapaswa kuwa ni moja ya sehemu ya suluhisho katika kuongeza uzalishaji na kuondoa umasikini vijijini. Kuna mitandao ya wakulima kulasa es facebook, twitter na istagram, makundi ya watsapp kwa ajili ya wakulima kupata elimuí huduma kupitia kangetakilimo baada ya kuwa mwanachama na kuendelea kupata huduma bure.
Kutakuwa na mtandao wa kanda utakaoongozwa na wajasiliamali wadogowadogo na wazalisha ajira mbalimbali katika ngazi y jamii.
Tunahamasisha kubolesha maisha ya watu katika Nyanja zifuatazo;
• Afya
• Maji Safi
• Maswala ya fedha
• Elimu
• Msaada wa kitaalamu
• Kujitambua / kufahamu jambo
• Kujua jinsi ya kuanzisha jambo
• Kukuza uchumi.
Descargar APK

Captura de pantalla de la aplicación

Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo Kangeta Kilimo

Similar