Kuza Business APK 1.0.0

Kuza Business

25. 2. 2025

3.8 / 129+

Swahilies

Kuza Business Pomáhá vám spravovat a sledovat vaši každodenní práci

Stáhnout APK - Nejnovější verze

Podrobný popis

Kuza Business ani aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.

Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;

- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.

Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako


Kuza Business je účetní mobilní aplikace pro firmy, která umožňuje zaznamenávat a ukládat svá obchodní data a podrobnosti, jako jsou prodeje, výdaje, dluhy a správa zásob. Kuza Business usnadňuje firmám růst jejich podnikání tím, že činí informovaná rozhodnutí ze svých obchodních dat

Snímky obrazovky aplikace

Podobné